Manchester united walifurahi kumpata mchezaji Memphis Depay mwenye miaka 21 kutoka PSV
Zilitoka ripoti kwamba wakala wa Karim Benzema anaiywa Karim Djaziri amekutana na mwenyekiti msaidizi wa Manchester united Ed Woodward kwenye hotel moja huko London. Habari hiyo ilitoa hali kubwa ya story za Benzema kuamia Manchester united.
Djaziri alivyokua kwenye interview moja aliulizwa kuhusu mteja wake kuhamia Manchester united. Wakala huyo alicheka na kusema kwamba sijawai kukutana na muwakilishi wa club yoyote ya London, sio Manchester united wala nyingine. Hatujaongea na club yoyote zaidi ya Real Madrid.”
“Karim anaenda kufanya nini Manchester, ana furaha akiwa ndani ya Madrid. Hataki kuondoka, ataondoka ikiwa Real Madrid wakimwambia aondoke”
No comments:
Post a Comment