KUMBE!Hassan ‘Zari The Boss Lady’.Imeelezwa kwamba, katika kila shoo anayokwenda na mama kijacho huyo
amekuwa akilamba dau kubwa kwani wengi wanahudhuria burudani inayotolewa na Diamond ili kumuona Zari akiwa na kibendi.Uchunguzi wetu ulibaini kwamba, ujauzito wa Zari kwa sasa unamuingizia mkwanja mrefu Diamond kufuatia kila shoo anayohitaji kwenda kufanya, mapromota wengi wamekuwa wakimtaka aende na Zari ili tu mashabiki wamshuhudie.

No comments:
Post a Comment