29 May 2015

JOKATE KIDOTI: ALI KIBA NI KILA KITU KWANGU!

Mrembo mchakarikaji Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’. Akizungumza na Ijumaa Jokate alisema, watu wanaongea sana kuhusiana na ukaribu wao bila kujua kuwa Kiba ni mtu wake kitambo na sasa ndiye kila kitu kwake kwani ana projekti naye kibao ambazo zinakuja na wasioelewa, ipo siku wataelewa.
MREMBO mchakarikaji Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, juzikati aliamua kuvunja ukimya na kusema kuwa mwanamuziki Ali Kiba kwa sasa ndiye kila kitu katika mambo yake mengi ya kimaisha.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname