JUMA NATURE AFUNIKA MBAYA DAR LIVE ..UKUMBI WATAPIKA KILA SEHEMU NI KATIKA SHOO YA MIAKA 16 YA NATURE
![https://igcdn-photos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/11358204_476722869170074_647479399_n.jpg](https://igcdn-photos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/11358204_476722869170074_647479399_n.jpg)
SHOO YA MIAKA 16 YA NATURE KATIKA MUZIKI YATIA FORA DAR LIVE
SHOO
ya kutimiza kutimiza miaka 16 katika muziki kwa msanii Juma Kassim
Kiroboto ‘Sir Nature’ na kituo cha Utangazaji cha EFM kutimiza mwaka
mmoja iliyofanyika ndani ya ukumbi wa Burudani wa Taifa wa Dar Live,
Mbagala-Zakhem, lilikuwa moto wa kuotea mbali.
No comments:
Post a Comment