28 May 2015

ADAM MCHOVU AADHIMISHA SIKU YA KUFA NGWEAR KWA KUANDIKA MANENO HAYA

Miaka miwili iliyopita kuna boya aliiteka account yangu ya Facebook akaandika kama unataka kuona picha za uchi za msanii flani wa kike afungue link aliyoeiweka hapo, ni siku nliochezea matusi meeengi ya kila aina kila nikijaribu kuwaambia sio mimi watu hawaelewi walitukana sana .. ilininyima amani kabisa issue hio iliendelea mpaka taarifa za msiba wa mwenetu kipenzi cha watu freestyle master, cowbama #Arlbertmangwea kua amefariki ndo yale matusi ya yakapungua na kwisha kabisa, nilikua nimejipanga kufanya jambo ambalo naamini ingekua ni story ingine ila kwa heshima ya ngweair I let it go.. so kila inapofika tarehe hii nakumbuka mambo miwili ya kwanza ni kuharibiwa biashara yangu ya online mixer ma tangazo na pili ni kuondoka kwa #mshkajiwetu ... mungu ampumzishe kwa amani na alie teka account yangu alaaniwe yale matusi yamrudie kwa vitendo ... tukutane kwa fasi #xxl #cloudsFM

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname