Ndoto ya Mwigizaji Maarufu na mrembo wa Bongo Movies Aunty Ezekiel ya
kwenda kujifungulia nje ya nchi zimefikia ukingoni baada ya daktari wake
kumwambia amechelewa kusafiri kwani kwa miezi aliyofikia w
akati huu hairuhusiwa kwa kusafiri kwa kutumia usafiri wa ndege kwani ni Hatari
Kitaalam mjamzito akishafikisha zaidi ya miezi saba ni hatari kusafiri
kwa usafiri wa ndege kwani inaweza kusababisha presha ya mama kushuka
kwa ajili ya kubadilika kwa hewa ndege ikiwa angani ..Hivyo masharika ya
ndege yana utaratibu wao wa kuwakataza mama wajawazito wa miezi hiyo
kusafiri kwa usafiri huo bila ruhusu ya daktari ..
Aunty alikuwa amepanga kujifungulia Marekani na alikuwa ameshajitayarisha kwa Safari hiyo..
.jpg)
No comments:
Post a Comment