27 May 2015

KUMBE MUANDISHI WA HABARI ALIYEFARIKI MAJUZI ALIKUWA HAJALIPWA MSHAHARA MIEZI MITATU SOMA HAPA



  • Skipper Moses Sema tu Wanahabari hawana JUKWAA la kusemea kadhia wanayoipata katika "ajira" yao, maana Muswada wa Habari unakusudia kutatua kadhia yao. Hivyo, wanaopinga si Wanahabari bali ni Wamiliki wa Vyombo vya Habari wanaofaidika na mfumo uliopo wa kinyonyaji!!
    Like · Reply · 1 · 15 hrs
  • Sylvester John Aisee hii sio nzur kabisa
  • Stephen Mwilolezi Dotto amenena! Nakubaliana naye 100%. Lakini kwa upande wa serikali, inafanya nini ktk kuhakikisha waajiri km hawa na wengine wengi hasa walioko sector utalii hasa hotelini hawawanyonyi wafanyakazi wao kwa kuwafanyisha kazi bila mikataba? Nani hasa anasimamia haki za wafanyakazi ktk secta binafsi?
  • Skipper Moses Stephen Mwilolezi, Wanahabari hawajajipanga vizuri kutetea haki zao, yaani they are not organised. Hakuna Serikali duniani inayotetea maslahi ya Kundi lolote lile bali husimamia tu. Wanahabari wepesi sana kufunga midomo yao na Cellotape lakini waoga, Mathalan, kuamua kuwa leo hakuna Gazeti litakalotoka, au mtu kuingia kwenye chumba cha radio au TV.

    Lakini wepesi kuyavalia njuga madai ya makundi mengine, eti wao ni muhimili wa nne!! Hicho ni kilemba cha ukoka tu kwa mfumo wa sasa wa umiliki wa Vyombo vya Habari kwa maana kuwa imekuwa biashara kama biashara nyingine duniani. Profit maximisation instead of social responsibility has been the order of the day for the mass media.
    Like · Reply · 1 · 9 hrs · Edited
  • Anderson Rwela Kuna tatizo gani MOAT kupinga mswaada Wa habari
  • Skipper Moses Tatizo ni kwamba MOAT wanapinga kwa sababu tu hawataki kusimamiwa hata wanapozungumza uongo. Yaani wanataka waishi kama Kuku wa Kienyeji. Ndo taabu yake hiyo!! Wanataka UHURU usio na mpaka. Haiwezekani Bwana!!
  • Anderson Rwela Umeusoma muswaada kweli kaka

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname