Miezi ya hivi karibuni magazeti ya udaku yamepunguza kumwandika vibaya katika magazeti.Ila Wema Sepetu ameamuwa kupost habari zake,pamoja na picha za vituko mwenyewe katika mitandao Hizi ni picha alizozipost kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: Gats to lose me a few more pounds!