Kawaida hapa nyumbani, wachezaji wa timu mbalimbali kubwa hupelekwa mazoezini na basi.
Huo ndiyo
utaratibu, lakini inapofikia katika timu kubwa, kila mchezaji hutinga
mazoezini na usafiri wake.Picha hizi zinaonyesha namna wachezaji wa Man
United ambavyo hutinga na kuondoka mazoezini wakiwa na usafiri wao.
No comments:
Post a Comment