Haya ndiyo maoni ya mwanamuziki TID kuhusu wimbo mpya ya Ali Kiba ya
chekecha chekatua kuwa hii nyimbo haina ubora wowote na hadhani kama
itadumu hata miezi 3 sokoni.
Ameandika Hivi Kwenye Ukurasa wake wa Instagram:
This song is not all That..But u guys are making it a big shi**t, its gonna last 3 months #nose Singing
No comments:
Post a Comment