Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ akiwa na mpenzi wake Siwema.Waandishi Wetu
JAMBO
limezua jambo! Siku chache baada staa wa Bongo Fleva, Emmanuel
Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kudaiwa kumfumania mpenzi wake Siwema Edson
kisha kuondoka na mtoto wa miezi mitatu (Curtis), mrembo huyo ameibuka
na kudai mtoto huyo si mali ya Mbongo Fleva huyo hali ambayo
imesababisha mama yake mzazi Nay apate mshtuko, Ijumaa Wikiendalinakupa
mchapo hatua kwa hatua.
Ijumaa
iliyopita, gazeti tumbo moja na hili la Ijumaa liliripoti tukio la Nay
kutonywa kuwa mchumba’ke anachepuka jijini Mwanza anakoishi ambapo Nay
aliamua kufunga safari kutoka Dar hadi Mwanza na kumfumania Siwema akiwa
na ‘serengeti boy’ wake.
No comments:
Post a Comment