Tumekuwa tukiona nyumba za mastaa wa nje ambazo huwa na vitu vingi
vya kifahari kama mabwawa ya kuogelea, tv kwenye choo na mabafu na hata
jikoni. Hii ni nyumba ya msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz iliyopo
Dar es salaam maeneo ya Tegeta. Leo ametuonyesha Jiko, Sehemu ya
kuogelea, na sehemu tofauti kwenye nyumba hio.
No comments:
Post a Comment