13 March 2015

Jibu ya Huddah Monroe kwa picha aliyoiweka instagram nakuonekana ina maneno yakuwakera watu wanene

Mrembo kutoka nchini Kenya ambaye anazidi kutikisa East Afrika kwa muonekano wake mzuri Huddah Monroe ameingia kwenye skendo ya kudhaniwa kuwaisema watu wanene baada ya kupost picha akiwa GYM nakuiandikia "I now understand why fat people remain fat! Working out is not easy! Everyone who knows me personally knows I've never worked out or done any exercises ! But my GOD, I've tried! The GYM is not a place for the weak hearted! I'm about to quit on day 3 ������. #iThoughtItWasAplayGround"

Maneno aliyo andika hapo yamemchukulia kutazamiwa tofauti kwakuonekana kama amewasema watu wanene kwakubaki kuwa wanene bila ya kupungua, Lakini hiki ndicho alicho post kuhusiana na maneno yake na kama kuna aliye oana anakereka "I am responsible for what I post but I am not responsible for what you choose to understand! if my posts offend you , kindly unfollow. Regarding my last post , I haven't called anyone fat , but fat people feel offended that I wrote "FAT" I LOVE everyone equally! i know ur struggle in the gym and I was simply trying to sympathize with people who struggle with their weight! Working out is not easy! #LetsGo! #TeamFitness #Day4

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname