Watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wamewapora Askari waliokuwa
wanaweka hela (LOAD) kwenye ATM hiyo iliypo kwenye Makutano ya Barabara
ya Mwai Kibaki na Garden, wamechukua hela zote na kutokomea.
Majambazi wakiwa wanasimamia zoezi zima la ulinzi wakati wenzao wawili wakipora pesa
Hapa wakitokomea kwa usafiri wa Pikipiki maarufu kama Boxer. Jumla walikuwa wanne wakiwa na pikipiki mbili
No comments:
Post a Comment