13 March 2015

EXCLUSIVEE............ 'Diamond Platnumz' akiwa kalazwa hospitali chumba cha upasuaji TMJ Hospital

Video hii inamuonyesha mkali wa Bongo Fleva, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz akiwa kalazwa chumba cha upasuaji huku akiwa kazungukwa na timu ya madakitari wakiwa wanashughulika na mguu wake.

Bado Diamond hajaweka wazi nini kilicho msibu bali yeye ameandika "Thanks alot Doctor Dossaj and the whole TMJ crew......"


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname