HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba kituo cha Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) kilichopo eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam kinaungua kwa moto muda huu.
Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa.
Taarifa zaidi zitawajia hivi punde.
No comments:
Post a Comment