Zari the boss lady ameshare picha ya chumba
cha kulala kwenye jumba la kifahari la Diamond Platnumz lililopewa jina
‘[State House]. Zari aliweka picha ya Gypsum ambayo imetengenezwa peke
kwaajili ya Diamond Platnumz huku ujumbe ukisema [Gotta love ny current view]
No comments:
Post a Comment