Video,Snoop Dogg kwa vituko,sasa kwenye mieleka na Hulk Hogan,alichokifanya kiko hapa
Snoop Dogg alikuwa mgeni kwenye ulingo wa mieleka wa WWE Raw
inayofanyika kila jumatatu .Snoop Dogg aliingia kwenye ulingo na kutaka
pambano na mcheza mieleka Curtis Axel aliyekuwa akimtani kwenye mitandao
ya kijamii.
Hii ndio video ya pambanolao
No comments:
Post a Comment