Familia ya Bobby Brown wameanza kurekodi kipindi kuhusu maisha yao ya
kila siku huku mtoto wake akiwa akitandani anapigania maisha yake.
Tmz imeripoti kuwa dada wawili wa Bobby Brown ,kaka na watoto wao
wameanza kurekodi maisha yao ya kila siku na sehemu ya kipindi hicho
kitahusu mtoto wa Bobby ‘Bobbi Kristina’ kupigania maisha yake.
Mwanasheria wa Bobby wamesema mteja wake hataonekana kwenye kipindi hicho.
Dada wa Bobby Brown ‘Leolah’ ndiye aliyelalamika kuwa Ray J
alichangia kifo cha Whitney Houston kwa kumsogeza zaidi kwenye matumizi
ya dawa za kulevya.
No comments:
Post a Comment