Baada
ya Mwanamuziki Lady Jay Dee Ambae alikuwa mke wa Gadner G Habash
Kufunguka kisa cha kumuacha Habash Hatimaye Gadner na Yeye amekuja na
Hili Hapa Chini:
Baada
ya Mwanamuziki Lady Jay Dee Ambae alikuwa mke wa Gadner G Habash
Kufunguka kisa cha kumuacha Habash Hatimaye Gadner na Yeye amekuja na
Hili Hapa Chini:
Valentine
hii naishi kwa hisani ya Mungu Muumba, napendeza kwa hisani ya
@robbyonefashion, nakula kwa hisani ya kazi @efm_93.7 Efm, natamba kwa
hisani ya @majizzo, nna amani kwa hisani ya washkaji wangu
@abdallah_gunda na @edbyamps na lavi davi kwa hisani ya #VJM.
Ndugu zangu na jamaa zangu nawauliza nimjibu au nisimjibu huyo anayedhani yeye malaika anayekosewa yeye tu??
No comments:
Post a Comment