![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgyBbzmPa8fSN9u-ahBwEkPIdO3x3d-K6K5JQ-khV4sRhEgP3B2KJ2qthcIS8Qc4eFbtxvMbUGQhvsBtDtGtFKQSdWNX6Qzk9YYdikwV0K8_Gj29L54GFnWurIU26mld1fIIiahfCf6PaB3/s640/MASOGANGE6.jpg)
1. Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa kwa mda mrefu. Hii inachoma lakini ndio ukweli wenyewe. Usiwe mjinga
2. Kukubali kuitwa mke wa pili. wakati hujatambulishwa kwao huyo umuitae mume .
3. Kuvaa pete ya uchumba ya mwanaume ambaye even hata kwenu apajui. Na pengine hata wazazi wako hawajui
4. Kutumia picha ya boyfriend wako kama profile picture wakati yeye hana hata wazo la kufanya hivyo.
5. Kumpa thamani yako PRIDE (Bikira), mwanaume ambaye ajatoa pesa ya mahari
7. Kutokumuheshimu mzazi wako kwa sababu tu ya mwanaume ambaye wazazi wako hawamjui
8. Kumpa mwanaume sex kirahisi tu kwa sababu amekuambia atakuoa
JITAMBUWE!!!
No comments:
Post a Comment