28 January 2015

BREAKING NEWZ;KLABU OLYMPIA IMETEKETEA KWA MOTO


Klabu Olympia iliyopo Mori, Dar imeteketea kwa moto leo alfajiri chanzo chake kikidaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme. Jitihada za kuzima moto huo zinaendelea.
Habari zaidi kuwajia baadae.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname