Usiku wa kuamkia leo wengi walikuwa wakisubiri hasa kujua na kuiona show
iliyo andaliwa na kampuni ya mawasiliano kwa njia ya simu za mkononi
tiGo kupitia kampeni yao ya
tiGo Kiboko Yao Concert ambapo wakali kibao akiwemo
Weusi, Yamoto band, Ali Kiba nawengine walisababisha concert hiyo iende poa.
No comments:
Post a Comment