Kama ilivyotokea kwa msanii nyota wa kike wa bongo fleva, Rehema Chalamira 'Ray C' kuingizwa katika matumizi ya dawa ya kulevya na mtu ambaye alitokea kumwamini sana, ndivyo ilivyotokea sasa kwa msanii anayefuata nyendo zake, Winfrida Josephat 'Rachel' ambapo anadaiwa kuvutishwa unga bila kujua....
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha karibu na msanii huyo,Rachel amewekewa dawa hizo kupitia kwenye bangi na wakati mwingine kwenye sigara hivyo inakuwa vigumu kubaini hila iliyofanyika....
Habari ambazo tumezipata zinadai kwamba msanii wa kiume nyota wa bongo fleva ambaye amewahi kutuhumiwa kutumia dawa za kulevya ndiye anayemtengenezea kokuteli hiyo inayotarajiwa kumwangamiza siku za usoni.
No comments:
Post a Comment