22 January 2015

HAKIKA HUYU MSICHANA KAFANANA NA WEMA SEPETU KILA KITU KA MAPACHA VILE

so shocked jamany huyu mdada anatingisha sana
sasa hvi bongo dar es salaam, it is said kumbwa
huwa akiingia kwenye kumbi starehe watu kibao
wanomjua wema na mafunz wake huwa
wanamkimbilia bidada huyo na kuanza
kumshobokea wakijua.ni staa wa.filamu nchini
Tanzania,.kwa sasa nyota yake imezidi kungaa
nchini Tanzania kupitia mitandao tofauti ya kijamii
haswa ukihusishwa na mtandao wa instagram,
haya wew ukiwa kama mdau wa mtandao wa
makubwa haya blog je unasemaje kuhusiana na
bishost huyo kweli ulimbwende na sura inafanana
haswa na wema au watu wanataka kumpa kiki.....

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname