05 January 2014

PICHA 6 ZIKIMUONYESHA MSANII JAGUAR WA KENYA AKIWA GEREZANI NA SARE ZA WAFUNGWA ZAZUA UTATA JIONEE HAPA




jaguar1

Picha hizi zimezua mshtuko kwenye internet kwamba Jaguar ameshikiliwa na polisi na kuwekwa jela?.

Jibu lake ni kwamba msanii huyu anajiandaa kutoa kazi mpya inaitwa “Kioo”.


Wimbo huo ilikupata video nzuri ndio sababu iliyomfanya aende hadi  jela ambapo picha hizi ndipo zimepigwa.


Mashuhuda wanasema kwamba wafungwa wa jela hiyo walifurahi kumuona Jaguar ambaye alijichanganya pamoja nao.


jaguar3

jaguar2

jaguar4

jaguar5

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname