22 January 2015

KWA MAVAZI HAYA...IRENE UWOYA ANAFAA PONGEZI HASWAAA

huu ni mfano mzur isana alioonyesha msanii huyu wa bongo movie, nadhani ni kipindi ambacho kila muislam anatakiwakumrudia muumba na kuishi katika maadili yanayompendeza yeye bilakujali tofauti zakikazi labda wewe ni msanii wa muziki au maigizo haijarishi, mmoja wa watu waliopongezawa na wengi UWOYA ambaye kwa kutumia nafasi yake kama 

kioo cha jamii ameweza kuwakumbusha wasichana ni jinsi gani wanapaswa kujisitiri katika kipindi chote cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, picha hiyo inaonyesha jinsi gani msaniii huyu amependeza na kudhihirisha kua si lazima uvae ovyo ndio upendeze na kuvutia, hata ukisitiri nywele zako vizuri unatoka poa tu. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname