22 January 2015

HUYU NDO MPENZI MPYA WA WEMA SEPETU...WEMA NAYE AELEZEA KIUNDANI


Nimekuwekea hapa U Heard ya leo January 20, story ya leo ni kuhusu tetesi kuwa mwigizaji Wema Sepetu baada ya kuachana na Diamond Platnumz kwa sasa ana uhusiano na mwanamitindo Mtanzania anayefanya kazi zake Afrika Kusini,  Ally Daxx.

Gossip Cop alimtafuta Wema na kumuuliza kuhusu story hiyo kama kuna ukweli wowote, Wema amekataa kuwa na uhusiano na mwanamitindo huyo.
Bonyeza play kuisikiliza  U Heard yote hapa mtu wangu

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname