Nilikuwa napita pita zangu huko Google kutafuta udaku nikakutana na hizi baadhi ya picha za mtoto wa Kajala na Producer wa Bongo Flava P Funk , Ki ukweli japo bado ni mtoto sana kwa umri ila ni mzuri wa sura miaka kadhaa ijayo na uhakika atakuwa moto wa kuotea mbali....
No comments:
Post a Comment