Leo
nataka nieleze mambo ya msingi… kama utahisi haya nitakayo yaeleza
yamekukera jifanye kama hujaona na uendelee namabo yako sitaki comment
za matusi!!!!
Kwanza
kwa nini wasichana wengi mmekuwa matapeli wa mapenzi? Utakuta msichana
hajampenda jamaa lakini anataka pesa tu na anapretend kama amekufa
ameoza hii inajidhihirisha pale mnapokuwa kunako sita kwa sita utaona
msichana anapiga kelele za hatari mnaweza kuwa mpo Mwenge lakini watu wa
mbagala wanazisikia kelele hizo…. Kwa mwanaume asiejua mambo anaweza
kuhisi ndo amemtoa bikira mdada huyo kumbe wapi ni wizi mtupu….mtoto
anatengeneza tu mazingira ya kukutoa pesa… mkimaliza ukimpa elfu 5 ya
nauli anakwambia beib hela gani hii hivi hujaona jinsi ulivoniumiza
jamani nipe hata elfu 30 basi…. Kweli mapenzi kamari
Nanyi
wanaume waogopeni sana wasichana wenye tabia kama hizo maana hawana
mapenzi ila wapo kimaslahi zaidi!!!! Na pia watoto wa kiume epukeni
kujitafutia magonjwa makubwa kwa kuwanyonya hawa wasichana sehemu zao za
siri
…. Usiige yale unayoyaona kwenye mikanda ya ngono ukahisi ni jambo zuri, kumbuka wale wanaoigiza mikanda ya xxx wapo kibiashara zaidi na sio kimapenzi……
…. Usiige yale unayoyaona kwenye mikanda ya ngono ukahisi ni jambo zuri, kumbuka wale wanaoigiza mikanda ya xxx wapo kibiashara zaidi na sio kimapenzi……
Kwanza hebu tafakari mambo matatu yafuatayo…..
1.
wanawake wanaenda breed kila mwezi…. Ila damu huwa ni chafu sana ndio
maana hairuhusiwi kulala nae wewe unapata wapi ujasiri wa kumnyonya!!!!
2.
Wanawake wengi wanatumia vipodozi na madawa mengi yenye athari wewe
unajiweka kundi gani kwa kuyalamba na kuyameza hivi unayapenda kweli
maisha yako na wanaokutegemea
3.
Inawezekana mwanamke huyo ndo mara yako ya kwanza kukutana nae hujui
aliwahi kuwa na nani huko nyuma wewe unakurupuka tuu na kutaka kuonesha
ufundi wako….. huenda alikuwa na jamaa mwenye magonjwa ya ngozi kama
ukurutu, malengelenge, fangasi na mengineyo….fikiria mara tatu kabla ya
kuyaweka rehani maisha yako kwa mambo ya kijinga!!!!
NJIA MBADALA NA NZURI NA PENZI LITAKUWA TAMU
Tumia
njia zingine kama kupapasana, kutekenyana sehemu mbalimbali kwa kucha
na vidole … Na pale muwapo ndani ya sita kwa sita msisitize mpenzi wako
kukata viuno taratibu ila kwa ufundi, mtekenye masikio yake taratibu kwa
kucha zako….. mtazame kimahaba, mtekenye na mpapase chini ya kitovu
hadi kwenye nywele za ikulu yake…. Usisugue haraka haraka kama
unakimbizwa fanya taratibu ila kwa ufundi……. Kwa hujui ufundi upoje
usione aibu nitumie sms inbox hapo na nitakusaidia……
Je, unapenda kesho niendelee na madhara ya kiss na kunyonya uume?
No comments:
Post a Comment