Basi
la Mbukio Missio muda mfupi baada ya kupata ajali ambayo ilisababishwa
na Dereva wa Basi hilo, Hapa vijana wakiwa wamechukua magazeti wakificha
jina la Basi hilo lisitambulike kwa wale wanaokuja kushuhudia ajali
hiyo, Nia na lengo la kufanya hivyo haijafahamika mpaka sasa.
Lori
la Mafuta lenye namba za Usajiri T332 AGA ambalo Dereva wake Godfrey
Lyimo (33) alikuwa amejeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali kwa
matibabu zaidi, Hapa Lori hilo la mafuta liliwa Limepinduka.PICHA ZAIDI>>
No comments:
Post a Comment