UMEZIONA PICHA ZA KIWANJA KIPYA CHA NDEGE KUTOKA DUBAI ZIKO HAPA
Mtawala
wa Dubai,(UAE) Al-Maktoum kujenga uwanja mpya wa ndege utakaokuwa
mkubwa kulivyo viwanja vyote duniani na kuuita jina lake. Hizi picha ni baadhi ya jinsi uwanja huo utakavyokuwa.Abiria watakuwa wakichukuliwa kwa treni
No comments:
Post a Comment