08 September 2014

TAZAMA PICHA 5 ZA MZOGA WA NYANGUMI MKUBWA ALIYEPATIKANA HUKO MTWARA


Mzoga wa samaki aina ya nyangumi umeibuka katika pwani ya Mtwara leo baada ya kukutwa ukielea bahari kuu na wavuvi. Mzoga huo ulivutwa hadi pwani kwa mshangao wa wananchi. Taarifa kamili ya tukio hilo zinatafutwa kwa sasa angalkia taswira za mzoga huo








No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname