21 September 2014

SAGUDA AKABIDHI MALI ZOTE ZA MAREHEMU RECHO UKWENI..


George Saguda akiwa na aliekuwa mchumba wake marehemu Rachel Haule ‘Recho’ Akizungumza na paparazi wetu, Saguda alisema kwa sasa hahusiki na suala la mirathi ya Recho japo alikuwa akiishi na marehemu kama mke wake na kudai kuwa mali zote zilizokuwa zinamhusu Recho, tayari amezikabidhi kwa ndugu zake.


“Marehemu Recho nilikuwa nikiishi naye kama mke wangu lakini mali zake zote nimeshazikabidhi kwa ndugu zake kwa sababu wao ndiyo wanaohusika na suala zima la mirathi endapo kutakuwa na ulazima wa kunishirikisha basi wataniambia,” alisema Saguda

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname