21 September 2014

ANGALIA MTOTO ALIVYOVUNJA PROTOKO YA JESHI ALIPOMKIMBILIA MAMA YAKE MWANAJESHI AKIWA KWENYE PAREDI.

Hali ya hisia kali ilikumba hadhira iliyokwenda kuwapokea wanajeshi wa Marekani waliotoka Afghanistan baada ya kutumikia jeshi wakiwa huko kwa miezi tisa kabla ya kuungana na familia zao.

 Wakati wanajeshi hao wakipokea amri ya jeshi kabla ya kuruhusiwa kukutana na familia zao mtoto wa miaka mitatu Cooper Waldvogel uvumilivu ulimshinda na kukatiza kumkimbilia.

Bila ya kujali protokali mtoto huyo aliwaponyoka watu waliokuwepo na kukimbilia moja kwa moja mikononi mwa mama yake na kumkubatia kwa hisia kali.

1 comment:

Comments system

Disqus Shortname