Hapa Aunt Ezekiel akipta ukodak na mashabiki wake Rose Millo kushoto na
Alpha kulia Nyumbani kwa Ny Ebra. Rose na Alpha ni wageni wa Ny Ebra
kutoka Tanzania wapo New York kikazi na walifurahi sana kukutana na Aunt
Ezekiel na kupata fursa ya kupata ukodak.
Ni mambo ya Ukodak wa vijimambo hayo live bila chenga.
Kila mmoja akionyesha smile yake mbele ya ukodak.
Dj Luke nae akipata ukodak na Aunt pamoja na Deborah kiroho safi.
Salimu Akida katikati.
No comments:
Post a Comment