Pichani ni mabasi mawili ya Simba Mtoto na Dar Express yakiwa yamepigana pasi maeneo ya Muheza Mkoani Tanga mchana huu.
Haijafahamika mara
moja madhara ya ajali hii wala chanzo chake kwa kuwa ripota wetu
hakubahatika kumpata msemaji wa polisi. Hata hivyo Globu ya Jamii
inaendelea na juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga kwa
taarifa zaidi. Tuendelee kuvuta subira.
No comments:
Post a Comment