HABARI
ZA HIVI PUNDE!! AJALI NYINGINE MBAYA MAENEO YA KIEGEYA GAIRO, GARI LA
ABIRIA KUTOKA DAR-TABORA LIMEPATA AJALI MBAYA KIASI KWAMBA WATU WENGI WAMEPOTEZA MAISHA. NI DK 6 ZILIZOPITA..PICHA HAZIFAI KUONWA NA MIMI
NIKO ENEO LA TUKIO KWA AJILI YA UOKOZI..VIONGOZI MBALI MBALI WA SERIKALI
TUNAO HAPA..KWAKWELI NI MAJONZI VILIO NK.
Air BUS DAR-TABORA...
No comments:
Post a Comment