Kama
ilivyokuwa imetarajiwa na wengi mwigizaji mashuhuri kutoka Kenya Lupita
Nyong'o amenyakuwa tuzo la Oscar la mwigizaji msaidizi wa kike kwa
jukumu lake la kuelezea masaibu ya Patseh katika filamu ya utumwa ya
''12 Years A slave.''
baada ya
kupokea tuzo hilo lupita amesema " Haikwepi katika mawazo yangu kwamba
hata dakika moja ya furaha katika maisha yangu ni shukran na maumivu
makubwa kwa mtu mwingine.''
Kisha Lupita akaongeza kusema, " Na iwe ukumbusho kwangu na kila mtoto kwamba kokote unakotoka, ndoto zako ni halisi.''
Sherehe ya kutolewa kwa tuzo hizo zimefanyika mjini Los Angeles nchini Marekani.
Sherehe ya kutolewa kwa tuzo hizo zimefanyika mjini Los Angeles nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment