Usikose Sound Clash 2014, Madeejays 50, Round 5, Mshindi Ni Dj Mmoja Atakaejinyakulia Milioni 10 Cash
Usikose
Sound Clash 2014, Madeejays 50, Round 5, Mshindi Ni Dj Mmoja
Atakaejinyakulia Milioni 10 Cash, Round Ya Kwanza Inaanza Jumamosi Hii
Tarehe 1/3/2014 Ndani Ya Club Bilicanas Kwa Kushindana Madeejay 10 Wa
Mwanzo Ili Wapatikane Wawili Watakao Ingia Fainali Moja Kwa Moja
No comments:
Post a Comment