New gossip zinasema kuwa star wa filamu nchini aliyejaaliwa mvuto pia Lulu Elizabeth
Michael hadumu na mwanaume sababu ya kuendekeza ubabe na kutaka
kum-control mwanaume anayekuwa nae. Inadaiwa Lulu hataki mchezo mwanaume
akishakuwa nae basi lazima ahakikishe hafurukuti.
Inadaiwa
kuwa hivi miezi ya karibuni alikuwa na jamaa mmoja mdogo kimapenzi
akamwaga na baada ya muda akawa anatoka na tajiri mmoja kijana
wa madin toka Arusha lakini tajiri huyo alinyoosha mikono juu baada ya
Lulu kama kawaida kuruhusu majeshi yake yam-control jamaa huyo. Chanzo
kimoja kikizungumza na Sani kilisema "
"Ni mtu mwenye isirani kwa wanaume, hadumu nao, wengie wanaokuwau nae ni wale wavumilivu sana, nadhani ana matatizo ambayo yanahitaji
mtaalam wa saikolijia ya mahusiano, akizinguliwa tu hachelewi kuvnja
simu na kurejesha kila kitu alichokuwa amepewa" kilisema chanzo hicho
kilichodai ni mshikaji wa karibu na Lulu.
No comments:
Post a Comment