MSANII wa filamu za Kibongo, Abdulmalick Ahmed ‘Ben’ anasakwa na jeshi la polisi akidaiwa kumjeruhi mzazi mwenziye, Leyla Abdalah, mkazi wa Magomeni-Mikumi, Dar.Akizungumzia tukio hilo, Leyla alisema mwigizaji huyo ambaye pia hufahamika kwa jina la Serengo amekuwa akimfanyia fujo mara kwa mara kwani Januari, mwaka huu, akiwa katika Ukumbi wa Travertine, Magomeni, Dar, alikutana na msanii huyo ambaye alimlazimisha waondoke pamoja, alipokataa akaanzisha vurugu.SOMA ZAIDI
helped me to improve a lot... Am new to the world of internet and its wide oppurtunities... I want to spread myself over the internet… I belive you will be helping me to make change in my career.... Make Money , Blogging Tips
ReplyDelete