25 February 2014

PICHA: MSANII LULU WA BONGO MOVIE AAMUA KURUDI SHULE..

   Kweli elimu ni  bahari na wala haina mwisho, picha aliyoipost kwenye mtandao hivi karibuni  wa kijamii inamuonesha msanii huyo mahiri wa bongo movie akiwa anapiga kitabu,
huku wadau wakimuhasa apige kitabu uenda ikawa ni mkombozi

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname