Mchungaji Mtikila leo huyu jamaa
amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge
hilo mana limechaguliwa kihuni.
Nasema hivi wambieni kabsa nimesema hili
ni bunge la kihuni limechaguliwa kihuni ndio maana unakutana na mambo
ya kishenzi mnayoendelea kuyaona.
Nasema tangia uhuru sijapata kuona bunge la kihuni kama hili.
Sitoshangaa maamuzi ya kihuni na kishenzi kutokea siku tunaagana pale nje.
Huyo ni rev. Christopher Mtikila.
Source: BBC swahil
No comments:
Post a Comment