Mziki wa tanzania umeanza kujivalisha sura ya zombi
Nahic unapoelekea itakuwa ni kunyonyana dam ,7bu kwenye nyumba ya mziki naiona chuki imeshabisha hodi na kuingia ndani ,huyu chuki namuona anajaribu kutembea ndani ya mifupa ya wasanii maproducer na baadhi ya watangazaji na wadau , chuki amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuugawanya mziki wa
tanzania, ss hv kuna
makundi km matatu yaliyo kwenye mziki wa tanzania kuna makundi mawili
yanapingana na hayapendani kabisa nahic bongo tungemiliki silaha km
rwanda burundi kila siku haya makundi yangerushiana risasi (mungu
atunusuru kufika huko) na kuna kundi moja huwa halina kauli halipo huku
wala halipo huku kundi hili hulifananisha na yule mtu mpolee wa darasani
wanafanya fujo wengine lkn na yy anawekwa kwenye mkumbo wa adhabu
wakati makosa walifanya wengine, chuki cjajuwa alizaliwa mwaka gani na
wala sijui ametokea mkoa gani wala nchi gani namshangaa anaishi dunia
nzimaNahic unapoelekea itakuwa ni kunyonyana dam ,7bu kwenye nyumba ya mziki naiona chuki imeshabisha hodi na kuingia ndani ,huyu chuki namuona anajaribu kutembea ndani ya mifupa ya wasanii maproducer na baadhi ya watangazaji na wadau , chuki amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuugawanya mziki wa
Ee mungu tulinde na huyu chuki aliekwisha jizamisha kwenye familia ya mziki
by- Hammer Q Hammer Q
No comments:
Post a Comment