Kupitia
mtandao wa Kenyan Post, hivi karibuni walipost stori ya mwanadada
mwenye umri wa miaka 16 ambaye aitwaye vanesa chettle ilidaiwa kuwa ni
mwathirika wa ugonjwa wa Ukwimwi na amekuwa akiwaambukiza kwa makusudi
mastaa wa nchini humo.Msichana huyo inasemekana ameshafanya mapenzi na
watangazaji wa kituo kimoja cha radio ambao ni Shafie Weru na Nick
Mutuma, pia ameshafanya mapenzi na mwigizaji Effy, na sasa mwanadada
huyo mwenye umri wa miaka 16 anaishi na kibabu cha Kizungu chenye cha
umri wa miaka 80, pia inasemekana Vanesa ameshapiga ‘group sex’ na Top
Kenya n deejays kwenye pati.
No comments:
Post a Comment