25 February 2014

Angalia Picha Jamii inayoishi na Mamba kama mifugo ya kaida.

wanaishi na mambaHii ni jamii ya watu wa kijiji cha Bazoule kilichopo nje kidogo ya Mji mkuu wa Burkina Faso.
Kwa mujibu wa wanahistoria, jamii hii ilianza kuishi na mamba yapata miaka 600 iliyopita.securedownload6

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname