Faida zake
a. Hukufurahisha na ya kukusisimua
b. Hufanya ucheke
c. Anakua pembeni yako kwa kila jambo na atakupigania na kukulinda
Hasara
a. Mara nyingi
wanatabia za kunywa pombe na kuvuta sana sigara
b. Kila mra hakosi drama za kukushangaza
c. Atakuwa katika hali hiyo ya ukorofi milele
2. MR. KWA SASA SINA MSICHANA
Faida zake
a. Atakuchukua na kukutoa out kila mara
b. Atakutambulisha kwa marafiki zake wote
c. Atakuwa ni mtu wa kukupa pongezi wakati wote
Hasara
a. Anamchumba ambaye wako naye kwa muda mrefu
b. Hawezi kukuambia kuwa ana mchumba
c. Baada ya kuteka moyo wako nawe umedata ndio atakuambia
kuwa ana mpenzi
3. MR. MAARUFU
Faida zake
a. Atakupa fedha
nyingi na hakuna kukulizwa maswali
b. Ana style nyingi za jinsi anavyoendesha maisha yake
c. Atakuonyesha baadhi ya mambo mazuri katika maisha yako
Hasara
a. Kamwe usije jaribu kuishika simu yake
b. Anamaamuzi ya kutokukushirikisha, anaweza kuja nyumbani kwako wakati wowote bila
kutoa taarifa
c. Anapenda kuwa karibu na marafiki zake zaidi kuliko wewe.
4. MR. MISHEMISHE A.K.A JEMBE
Faida zake
a. Anaweza kukupa mialiko wewe na marafikio zako katika
minuso mbalimbali na kumbi nyingi za
b. Unaweza kuwa na heshima na kila uongeacho na kuchochea mazungumzo pia
c. Anavaaa nguo za gharama
Hasara
a. Huwezi kujua kama yeye ni shoga au lah kwani hana kazi,
muda wote yupo kwake na huoni dalili za kuhangaika lakini ana maisha mema na
pombe kila siku
b. Hujifanya anakuwa mkali ukijaribu kumwelezea juu ya
mpango wa mahusiano yenu kwenda mbele
c. Ukiwa bado kwenye mstari wa kupata tiketi uingie kwenye
pati, au mnuso unaweza kushuhudia drama pale mlangoni na kisha mkaruhusiwa
kuingia
d. Ana rundo la picha za yeye na celebrities kibao lakini hawajuani
na mmpoja kati ya hao mastaa
5. MR. MSOMI
Faida zake
a. Muda wote yupo smart
b. Anakujali na kuhakikisha unajisikia vyema
c.Ana kazi nzuri sana
hasara
a. Mambo yake yanaboa sana kwani muda mwingi anahangaika na
mambo ya kazi
b. Hata kwa bed ni mvivu sana kwana anakuwas kachoka na
majukumu
c. Hayuko smart sana na mambo ya mtaani kama kukutoa out
kwani anakuwa busy
d. Daima ni mtu wa kukuliza lini tutaonana tena
6. MR. GETO
Faida zake
a. Hukufanya ucheke
b. Anavutia kuwa naye karibu
c. Ana hasira za haraka, lakini kwa ujumla ni mtu poa
d. Atasema yeye anataka uhusiano wa kweli
Hasara
a. Ana watoto 3 au zaidi kwa mama tofauti
b. Anataka kukutumia apate chakula, fedha za matumizi na sio
upendo
c. Na kila ukimwambia ukweli juu ya mambo yake anakataa au
kuwa mkali
d. Kama ukikaa naer anaweza rudi hata saa tisa usiku na
kujitetea alikuwa na marafiki
7. MR. RASTA
Faida zake
a. Atakufundisha mambo mengi ya upendo na amani
b. Yeye ni mwanaharakati au mwanamapinduzi
c. Atakupa maneno na falsafa zenye kukupa msukumo wa amani
na ni maneno ya kihalisa yenye hisia
d. Anataka mke na familia
Hasara
a. Atakupiga chini akipata binti wa kizungu
b. Ana hela za kufanyia starehe ila hana kazi maalumu
c. Haimiliki suti nzuri, siku zote amevaa kombati au jinsi na
kutokwa na jasho
d. Mwishoni utagundua kuwa alikuwa anakuigizia
8. MR. FUTURE
Faida zake
a. Atakutambulisha kwa mama yake
b. Ana kazi na atakuwa mtu wa kujirusha na wewe
c. Atakupa fedha za mahitaji yako kama unahitaji
d. Wakati mwingine huenda kanisani Jumapili
Hasara
a. Wakati mwingine naye anataka kuwa mtu wa kuishi free
b. Ni mtu wa kuvaa mikufu na saa fake
c. Kuna wakati yeye yuko busy na kufuatilia michezo
aipendayo na kukusahau wewe kama upo
d. Baada ya kuachana ndio utagundua alikuwa ana mabinti
kibao.
9. MR. KICHECHE
Faida zake
a. Atakuambia ukweli - kwamba wewe sio mmoja tu kwake
b. Yeye atakwambia kwamba umembadilisha na yuko tayari kutulia
na wewe
c. Anakaa kwake ana usafiri na atakuomba uhamie pale make wote
Hasara
a. Hawezi kukutambulisha kuwa wewe ni mpenzi wake mkiwa
sehemu hasa akiona kuna wanawake
b. Kwa ujumla yeye ni mzushi wa kila afanyacho
c. Anatarajia wewe kuamini uongo wake wote kwa sababu tu
alikuambia ukweli kuhusu wanawake wengine alipkuwa nao
d. Baada ya kumdaka uongo wake atajitetea alishakuambia kuwa
alikuwa kicheche
10. MR.NINA KAZI NZURI
Faida zake
a. Bila shaka ana kazi
b. Hana tabia nyingi mbaya sana
c.Atachukua wajibu wa kukuhudumia wewe wakati wewe ni
mgonjwa
d. Atakwambia kwamba yeye ana upendo wa dhati na wewe
Hasara
a. Utadumu naye katika uhusiano wa miaka 2 au zaidi na kisha
unakuja kugundua ni mvivu, mpuuzi na bedui ambaye anataka wewe kufanya kazi zote za mke lakini si kukupa pete.
b. Atamaliza kwa kukuambia anakupenda ila wewe sio chaguo
lake
c. Baada ya kukuacha miezi mitatu baadae anafunga ndoa
11. MR. RAFIKI WA UHAKIKA
Faida zake
a. Yeye ni rafiki yako bora, uamweleza kila kitu kinachokusibu
na mnakwenda pamoja vizuri sana
b. Anatoa ushauri kwa wakati unapopatwa na matatizo
c. Ni mwanaume wa kweli
d. mwelewa na anakujali na ni mcheshi wa kupindukia
Hasara
a. Manishia kujirusha na mwishowe unakuja kugundua hana
lolote yeye anataka sex basi.
b. Hapo unahitaji kupata mpenzi mpya kwani yeye hana mpango
wa maisha na wewe
12. MR. MWANAUME SAHIHI
Faida zake
a. Yeye anampenda Mungu na anachukua uhusiano wake na Mungu kwa
umakini
b. Yeye ni mwelewa, ana kipaji na uwezo wa kukuchukua wewe
kiakili na kihisia
c. Naye atakupenda hata wakati wewe haupendeki
d. Yeye ana ujuzi wa kufanya kazi kwa ustadi na anapendwa !
e. Anakubali makosa yake na inajitahidi kuwa mtu bora
f. Anaelewa uhusiano unajengwa kwa 200% . Yeye100% na wewe 100%
g. Yeye hana kundi la watoto wa mama, yeye ni nadhifu zaidi na
anakitambua.
h. Yeye ni rafiki wa bora wa kweli na kila kitu unachotaka
kwa mwanaume yeye anacho
i. Alikuwa mzuri ulivyokutana naye ila baada ya kukaa naye
unagundua anazidi kuwa nadhifi zaidi
j. Anaweza kupangilia mavazi - anajua tofauti kati ya mavazi
rasmi , ya kawaida, ya kitaaluma, ya biashara
h. Yeye anampenda mama yake na kuheshimu wanawake
Hasara
a. Hujawahi kutana naye na kama yupo basi ana mke au mchumba
.
b. Yeye hataki uhusiano wowote kwa sasa
c. Umeshamsikia sana mtu wa aina hii lakini kamwe hujakutana
naye na lazaidi umeshakutana na aina hizo hapo juu za wanaume na wakakuchezea
vilivyo
credit-tabasamunafuledi
No comments:
Post a Comment