05 January 2014

Kauli ya Polisi kuhusu taarifa za abiria 10 ndani ya boti kurushwa kwenye maji wakitokea Pemba

 
Saa tano asubuhi leo zimetoka taarifa za abiria wapatao kumi kurushwa ghafla baharini baada ya boti waliyokua wakisafiria kutoka Pemba kwenda Unguja kupatwa na dhoruba ya upepo mkali kwenye eneo hatari la Nungwi huku maelezo ya abiria waliohojiwa yakisema watu hao ilibidi waachwe ili boti nzima isizame lakini wakatupiwa maboya ya kujiokoa.

msemaji wa Polisi Zanzibar ambae anasema ‘ni kweli kuna boti ya Kilimanjaro II iliondoka Pemba kwenda Znz saa mbili na dakika 20 asubuhi ikiwa na abiria 369 Wakubwa, abiria wadogo 60 na mabaharia Wanane na kwamba boti hii ilipofika kwenye eneo hatari la Nungwi saa nne na dakika 15 ilipata dhoruba kutokana na upepo mkali’SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname