04 January 2014

BAADA YA BANGI KURUHUSIWA KISHERIA, TAZAMA WATU WAKIWA KWENYE FOLENI NDEFU KUINUNUA NA MADUKA YENYEWE

Hawa hapa juu ni baadhi tu ya wateja waliojinunulia bangi yao toka ipitishwe kisheria huko Colorado Marekani ambapo hii picha walikua wakiukaribisha mwaka mpya 2014.
bangi 9
Kwenye hii picha hapa juu na hii ya chini ni foleni ya watu wakiwa kwenye foleni kuingia kwenye duka la kuuzia bangi, hii ni foleni kwenye siku ya kwanza kabisa hawa walikua miongoni mwa wateja kwenye moja ya maduka ya kuuzia hizo bangi ambazo ziko kwenye ladha tofauti mfano strawberry.ANGALIA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname